Maswali ya mara kwa mara
Android
iOS
Karakana app inahitaji kupakuliwa ili kuanza kutumia. Tafadhali fuata hatua hizi:
Piga QR ili kupakua

-
Ikiwa haujapiga QR, tafuta Karakana App kwenye Google Play Store kwa vifaa vya Android, kisha bonyeza Install.
-
Fungua Karakana App, kisha sogeza skrini za utangulizi ama bonyez hadi mwisho na bonyeza Endelea kufungua ukurasa wa usajili.
-
Jisajili na anza kujifunza!
Kwa taarifa
Tafadhali kumbuka: Toleo la Karakana app kwa ajili ya iOS (iPhone) bado halijachapishwa.
Kwa sasa, app inapatikana tu kwa vifaa vya Android.
Tunatarajia kuanzisha toleo la iOS hivi karibuni.


